Aguero hadi sasa amefunga jumla ya magori 7 na kutoa pasi 1 ya bao.
Kocha wa Southampton, Ronald Koeman ameshinda tuzo ya kocha bora wa
mwwzi January katika ligi hiyo ya EPL baada ya kuongoza timu yake
kuzifunga timu ya Watford, Wwst Brom na Man United.


No comments:
Post a Comment