Friday, February 5, 2016

Alikiba ashindwa ku-shoot video ya 'Lupela' Mbugani...!!!

Jana pande za SlipWay ,Ali Kiba alizindua video yake ya #Lupela lakini mipango yake ilikuwa ni kufanya uzinduzi wa video hiyo kwenye mbuga za wanyama.

"Nilitamani sana kwenda kufanya ndani ya mbuga ili i make sense zaidi ili honey wangu #Lupela afurahie zaidi lakini kiu kweli ilikuwa ni uoga wangu tu asije akatokea Simba halafu Lupela akafia pale pale, lakini tumefanya kitu kizuri na tumejaribu ku create vitu ambavyo watu watapenda tumecheza, tumeinjoi,kuna parts za elephants kidogo kuonyesha kwamba najali jinsi gani kwamba mimi ni balozi nafanya kazi yangu vizuri." Alikiba














Alikiba na Wema Sepetu

No comments:

Post a Comment