Hivi sasa wamerudiana tena baada ya Amber Rose kwenda kumsapoti Wiz
kwenye party ya utambulisho wa new album na kuanza ku show some love kwa
kukisiana na kuwa tight close kiasi cha kusababisha watu kusema uenda
beef la Kanye West na Amber Rose limewarudisha kuwa pamoja.
Tazama video hapa......

No comments:
Post a Comment