Ni hatari sana kwenye maisha hawa ni wahanga waliolipuliwa na bomu kupitia kundi linalotishia sana maisha ya binadamu huko nchini Nigeria (Boko Haram's).
Watu wengi wamopoteza maisha 17,000 na wengine kujeruhiwa kwa kukatika mikono na miguu na wote wamelazwa hospitali ya Maiduguri, Nigeria.
No comments:
Post a Comment