Mwanamitindo Kim Kardashian (35) na mke wa rapper Kanye West anazidi kupagawisha watu baada ya kutokea mtaani alipokwenda kwenye tukio la fashion New York siku ya Jumatano.
Vazi alilovaa Kim kwa macho uwezi kuona viungo vya mwili wake ila kwa camera zilizopigwa ziliweza kupenya na kuonekana baadhi ya viungo vyake na kufanya inspiration kwenye mitandao ya kijamii....
Tazama hapa....
























Kylie
No comments:
Post a Comment