
Baada ya mapenzi yao kuwa rasmi kati ya model Blac Chyna na kaka wa Kim Kardashian ‘Rob Kardashian’, sasa wamekuwa wakitanua kila kona na kuonesha mahaba yao.
Rob akionekana location na Blac kwa ajili ya photo shoot kwenye fukwe ya Los Angeles, Marekani.
Tazama picha hapa...
































No comments:
Post a Comment