Friday, February 5, 2016

Batuli kumpeleka Ray Kigosi kwenye vyombo vya sheria

Msanii wa filamu 'Yobnesh Yusuf' aka Batuli amesema ni muda mrefu amekuwa aliyokuwa akijibiwa wakati akihitaji malipo yake kwa msanii mwenzie Vicent ‘Ray’ Kigosi Akizungumza kupitia kipindi cha Twenzetu cha Times Fm, Batuli amedai kuwa pesa anayomdai Ray ni milioni 1 na laki 2, malipo halali kwa vipande alivyoshiriki kwenye filamu ya Ray. 

 

 

 

Akizungumza kupitia kipindi cha Twenzetu cha Times Fm, Batuli amedai kuwa pesa anayomdai Ray ni milioni 1 na laki 2, malipo halali kwa vipande alivyoshiriki kwenye filamu ya Ray

Aliongeza, “Mi nikapata accident ya moto, nikamwambia naomba pesa yangu, akasema njoo upige picha ya ‘Cover’ nikasema sipigi mpaka unipe pesa yangu akanijibu ‘unaumwa wewe’, uvumilivu umefika kikomo nimeamua nitafute msaada wa kisheria na mkataba wangu umeungua kwenye ajali ya moto.

“Nikimpigia anaesema ana pesa, namwambia ungekuwa unahela usingeniita kwenye kazi yako.” alisema Batuli

 


No comments:

Post a Comment