Wednesday, January 20, 2016

Tazama Picha za Shilole akijiachia South Afrika

Mwanamuziki Zuwena Mohamed aka Shilole aka Shishi Baby kwa sasa yupo nchini South Africa kwa ajili ya kutengeneza kichupa cha wimbo wake 'Nyang'a Nyang'a',


swali langu kwako tangu Shilole apigane chini na mwanamuziki mwenzake Nuh Mziwanda amekuwa anapiga tungi sana, anajiachia kupitiliza, je unazani nini tatizo?
Tazama hapa.....


No comments:

Post a Comment