Wednesday, January 20, 2016

Kuna uwezekano mkubwa wa Vin Diesel na Jet Li wakafanya muvi moja

Moja kati ya muvi itakayo subiriwa kwa hamu ni 'The Return of Xander Cage' ambayo itawakutanisha Vin Diesel xXx3 pamoja na mkali wa kungfu Jet Li.

 

Fuel-ly loaded: Jet Li is facing off against Vin Diesel in xXx3: The Return of Xander CageVin Diesel ni maarufu katika series muvi ya Fast And Furious ambayo imempa umaarufu mkubwa duniani na kwa upande wa Jet Li uwezo wake unafahamika duniani kote kwa karate zake.

Fuel-ly loaded: Jet Li is facing off against Vin Diesel in xXx3: The Return of Xander Cage
Cooking with Diesel: He served up a veritable feast of high octane stunts in the 2002 original
Fu throttle: Jet is famous for his acrobatic martial arts style featured in the likes of 2007's The Forbidden Kingdom

No comments:

Post a Comment