Ijumaa iliyopita kupitia kipindi cha WikiendChartShow cha
Clouds Tv kiliwakutanisha Nuh Mziwanda na Shishi ambao waliachana kama majuma kadhaa yaliyopita na kufanya wapenzi wengi wanajiuliza kuna uwezekano wapenzi hao wakarudiana.
kwa maoni yako unaonaje kwa wapenzi hao wakarudiana?
No comments:
Post a Comment