Sunday, January 24, 2016

Tazama picha za mastaa waliohudhuria uzinduzi Clouds TV on DStv

Usiku wa jana Clouds Media Group wamezindua rasmi Clouds TV ikiwa ndani ya king'amuzi cha DStv.



Sasa kupitia channel 294 unaweza kuangali DStv na ukaendelea kufurahia vipindi mbalimbali vinavyozalishwa na CloudsTv.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

No comments:

Post a Comment