Eddy Kenzo kuachia video yake na Patoranking
Mwanamuziki kutoka Uganda 'Eddy Kenzo' anayefanya vizuri Afrika kwa ngoma zake kama 'Mbilo Mbilo', 'Mariaroza' na kushinda tuzo ya BET.
Eddy Kenzo hivi karibuni anatarajia kuachia kichupa chake 'Royal' na mwanamuziki kutoka pande za Nigeria 'Patoranking'.
"Royal official video with drooping soon" Eddy Kenzo
No comments:
Post a Comment