Mchezaji huyo anayeshika nafasi ya kwanza kwa ubora duniani amepata ushindi wa 6-1 6-2 3-6 6-3.
Djokovic atakutana mshindi kati ya Mwingereza Andy Murray au raia wa Canada Milos Raonic kwenye fainali.
Mserbia huyo tayari amemshinda Murray kwenye fainali mara tatu ikiwa ni pamoja na mwaka jana aliposhinda kwa seti nne.
No comments:
Post a Comment