Usiku wa jana Staa Wema Sepetu na Idris Sultan walidhibitisha kwa mara ya kwanza kwenye kipindi cha #Ala Za Roho @Cloudsfmtz kuwa wanashea shuka pamoja, wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza.
“Unajua kuna
kipindi nilikuwa siamini nikawa namtuma mdogo wangu akaninunulie ‘pregnancy
test’ nyingi ili niwe na ’test’ kila siku kuna siku nilipanga na daktari kwa ajili
ya kwenda kufanya ‘process’ ya kusafisha kizazi, ila baada ya muda kupita nikamwambia
nime-miss period zangu, so Dkt. akaniambia kabla sijasafisha kizazi nipime
kwanza kama nina ujauzito.
Kesho asubuhi
haja ndogo ya kwanza baada ya kuamka aliniambia nipime kiukweli kipimo kilikuwa
kinaonyesha kwa mbali mstari yote miwili miekundu……Nikajiuliza ninayo au macho
yangu nikatoka nikamwamwonyesha mtu mwingine akaniambia nina mimba, nikampigia
simu dokta wangu nikamweleza nikamwambia nitaenda na kipimo na yeye akione.
“Nilipofika
kwa daktari alipoona aliniambia kuwa nimenasa ujauzito, akaniambia yaani
alikuwa akiniwaza kuwa amewazalisha marafiki zangu wengi kwa hiyo mimi
ningekuwa na mtoto lini, nikamweleza ile ishu ya kusafisha kizazi kwa sababu
sijawahi kusafisha katika maisha yangu,akaniambia Mungu ana miujiza
yake,akaniambia kesho yake niende nikapime damu,nikaenda nikapimwa kila kitu
kilikuwa safi akaniambia ninaweza kuanza kliniki.
Unajua sijui
ni Mungu nilikuwa namwambia mpenzi wangu,Idris kuwa nina mimba lakini nilikuwa
sijapima,nilipotoka hospitali nikamwambia mpenzi wangu kuwa nina mimba ili
nimuone atasemaje.” Wema.
IDRIS ALIJUAJE KAMA WEMA ANA UJAUZITO?
“Kuna rafiki
yake mmoja alinipigia simu akaniambia kuwa Wema na ujauzito,kipindi hicho
nilikuwa nimetoka kukwaruzana na Wema kuhusiana na vitu vilivyokuwa vikiendelea
kwenye mitandao ya kijamii, nilivyopokea simu kabla ya kuongea chochote
akaniita Baba Kijacho ,nikamuuliza unasemaje ? akaniambia inabidi ufungue
akaunt ya mtoto benki…Nikaona kama ananitania ..wakati huo wakati napokea simu
nikuwa naendesha gari maeneo ya Mwenge ilikuwa nusu nikanyage matunda ya watu.
“Unajua mimi
sipendi kudanganywa …nikawaza unaweza kuwaambia marafiki zako mara ukaambiwa
mimba haipo …baada ya hapo nikaenda kununua vipimo mimi mwenyewe ili
nijiridhishe.. nikampigia baby akaniambi yupo nyumbani siku hiyo nililala kwake
….asubuhi yake alienda chooni kipindi hicho anaishi Kijitonyama kwa siri sana
nilipomwona anatoka chooni nikienda na kipimo changu…ilichukua muda wa siku
tatu kujua kama ni kweli ana mimba bila yeye kujua.
“Kuna siku
alinipigia akaniambia kuwa ana mimba…ikabidi nimwigizie nikamjibu kama
sijui….nikasema …Oooh My God…nikamjibu nilikuwa najua siku nyingi nikamuuliza
amejipangaje akaniambia yupo poa...Ukweli Wema alikuwa analia kila kuhusu
kutosika ujauzito.” Idris
UHUSIANO WAO
ULIANZIA WAPI?
“Kwa mara ya
kwanza kumuona Idriss ilikuwa Iview Records kwa Raqie …Ile picha iliyoipost
kwenye Instagram nikimuwish happy birthday ndio ilikuwa pich ya kwanza baada ya
kufahamiana …tuliongea sana siku hiyo nilienda kufanya photo shoot ya kava la
Bab Kubwa …Baada ya miezi kadhaa nikamwona ni mmoja ya washiriki wa shindano la
Big Brother ,kipindi hicho nilikuwa naangalia sana Big Brother,kama utakumbuka
vizuri kipindi kile nilikuwa napost sana picha zake kwa ajili kuhamasisha watu
kumpigia kura ,’’Wema.
“Nilivutiwa
jinsi alivyokuwa akifanya vituko kwenye lile jumba,sasa kipindi kile alivyokuwa
akirudi nyumbani baada ya kuibuka mshindi,nikamtumia sms kwenye Instagram
nikamwambia hongera ,akanijibu hey mamy sasa hivi nipo bize kidogo
nitakucheki,’I see you’,so alivyopata muda nilimwalika nyumbani kwangu
tuliongea sana ,nakumbuka kipindi hicho nilikuwa nipo ‘singo’ nikawa nime weka
akili yangu yote kwake.
“Kipindi
ambacho Idriss akiwa kwenye jumba la Big Brother alianzisha uhusiano na
mshiriki kutoka Sauz, Samantha kuna kipindi alikuja Bongo ,tayari nilishakuwa
na mapenzi na Idris kikweli iliniuma sana na kumbuka sikuwa na mpenzi.
“Kuna siku
moja Idriss alikuja nyumbani kwangu na Luis Munana bila kunitaarifu,walikuwa
wamemuacha Samantha nyumbani ,nilimwambia Idris kuwa Luis anavutia
sana,nilimpenda jinsi alivyo ,lakini kiukweli nilikuwa nikiwaona Idriss na
Samantha ilikuwa inaniuma sana.
“Nilikutana
na Luis kwenye ‘Instagram Party’ nilipomwambia Idriss kuwa nampenda Luis
sikufanya chochote kwa sababu sikuwa na namba yake ya simu, baada ya ile party
ndio tulizoana na kupeana namba za simu,sikuwa na jinsi Luis nilikuwa naye kwa
kipindi kile ili aniliwaze tu lakini akili na moyo wangu ulikuwa kwa Idriss.” Wema
Sepetu.
Usiku wa jana
Staa Wema Sepetu na Idris Sultan walidhibitisha kwa mara ya kwanza kwenye
kipindi cha #Ala Za Roho @Cloudsfmtz kuwa wanashea shuka pamoja, wanatarajia
kupata mtoto wao wa kwanza.
Watanzania
wote masikio yao yalikuwa kwenye show ya ‘Ala Za Roho’ anaye host @divathe
bawse kuanzia saa 4-6. Na interview ilikuwa kama ifuatavyo…..

No comments:
Post a Comment