Thursday, January 28, 2016

Serikali ya Eritrea yaagiza wanaume kuoa wanawake wawili



Serikali ya Eritrea imeripoti amri ya Wanaume wanaoishi nchini Eritrea wanatakiwa kuoa wanawake wawili na kama mwanaume akishindwa kufanya hivyo atafungwa jela.

Taarifa hiyo imekuja kwa lengo la kusaidia hali iliyopo kwa upungufu wa Wanaume katika nchi hiyo na inaweza kupelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe na Ethiopia.

 “Based on the law of God in polygamy, and given the circumstances in which the country is experiencing in terms of men shortage, the Eritrean department of religious affairs has decided on the following :
”First that every man shall marry at least two women and the man who refuses to do so shall be subjected to life imprisonment with hard labour.
“The woman who tries to prevent her husband from marrying another wife shall be punished to life imprisonment,”
Je wewe una maoni gani.....? 

No comments:

Post a Comment