Friday, January 29, 2016

Mbwana Samatta amefunguka haya

Baada ya kufika salama nchini Belgium na kupata kuchukuliwa vipimo na klabu ya mpya 'KRC Genk' Mbwana Samatta ameandika haya kwenye ukurasa wake wa insta.

Soma hapa....

"Asante kwa my boss Katumbi kwa fursa ya kucheza ndani ya TP Mazembe hadi leo. Kocha, wachezaji wenzangu,mashabiki na viongozi wote wa TP Mazembe muda wote wamenipa support. Watu wangu wote napenda kuwapa taarifa kwamba sasa hivi nimekua mchezaji rasmi wa KRC Genk. / Thanks to my boss Katumbi for opportunity of playing for TP Mazembe. Coaches, fellow players,fans and club leaders always supported me. I would like to inform you now I have joined KRC Genk. #LetsGo⚽."

No comments:

Post a Comment