Thursday, January 28, 2016

Real Madrid inahitaji mchezaji kwa gharama yoyote kutoka EPL

Klabu ya Real Madrdid ipo tayari kufanya usajili na kupata mchezaji kutoka Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa gharama. Kutokana na meneja wa Real Madrid (Zidane Zidane) wapo tayari kumsainisha mchezaji wa klabu ya Chealse ‘Eden Hazard’ kwa gharama yoyote kipindi cha majira ya joto, na matarajio ya dili yatakuwa yamekamilika.

Mbali na Eden Hazard, Zidane aliweka wazi maongezi yake na mchezaji wa klabu ya Barcelona ‘Neymar’s’ kwa ajili ya kuhama na wapo tayari kumlipa €180 million, pia bado wana mtazama kusajili gorikipa wa Manchester United ‘David De Gea’ katika kipindi cha majira ya joto.

No comments:

Post a Comment