Friday, January 29, 2016

Rose Ndauka kaja na jarida lake la 'Rozzie Magazine'

Mugizaji wa Bongo muvi 'Rose Ndauka' amekuja na product mpya ya jarida 'Rozzie Magazine' likiwa na cover la mshindi wa Big Brother 2015 'Idris Sultan', na haya ndio maneno yake Rose baada ya kulizindua jarida lake. 

"Namshukuru Mungu kwa yote, ilikua ndoto yangu kubwa kuileta Rozzie Magazine iwe kwenye Hard Copy baada ya kuwa online kwa muda mrefu,
Leo hii nimezindua Rozzie Magazine ambayo sasa mtaweza kuipata mitaani, kwa sasa itakua free na itapatikana sehemu mbali mbali.

Thanks to my team and everybody who was there from the scratch.. Niwashukuru na Nyie mashabiki wangu hope mtaendeleza support kwa hili linalokuja.
I prayed 2016 to be a year of success,God is listening... Papah Ahsante! 😘

 

No comments:

Post a Comment