Young Killer ameyaandika hayo kwenye ukurasa wake wa instagram...
Saturday, January 30, 2016
Young Killer kuachia new joint next month
Rapper Young Killer anayefanya vizuri sana kwa ngoma zake kama 'August 13', 'Popote Kambi' nk.. kwa sasa anajiandaa kuachia jiwe jipya mwishoni mwa mwenzi wa pili..
Young Killer ameyaandika hayo kwenye ukurasa wake wa instagram...
Young Killer ameyaandika hayo kwenye ukurasa wake wa instagram...
#NDUGU ZANGU NA RAFIKI ZANGU ,MASHABIKI ZANGU,MAADUI ZANGU.. NGOMA YANGU MPYA KWA MWAKA 2016 #NTAITOA MWEZI WA PILI..MWISHONI. ILA. #KWA MUDA HUU AMBAO NIPO KIMYA KIDOGO WAWEZA KUJILIWAZA NA NGOMA YANGU AMBAYO NIMEWAPA KAMA ZAWADI .MASHABIKI ZANGU .. LINK IPO KWENYE BIO #YANGU..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment