Ni miaka minne tangu nyota wa muziki Rihanna atangaze kwamba anaanda albamu yake mpya.
Hata hivyo harakati hizo zilikabiliwa na changomoto chungu nzima na kulazimika kuchelewesha utayarishaji wake.
Lakini hatimaye ndoto yake imefaulu na sasa albamu hiyo ya nane kwa jina ANTI imekamilika.
Nyota
huyo alifanya tangazo hilo akiwa amevaa taji la dhahabu la malkia
pamoja na vipaza sauti vya masikioni vya Dolce na Gabbana.
No comments:
Post a Comment