Je nani wa kulaumiwa kati ya Faiza Ally na Mh. Joseph Mbilinyi?
Moja ya kitu kinachoendelea kwenye akaunti ya instagram ya @faizaally_ inahusu video clip inayomuonesha mtoto wake Sasha akilia na kumuomba baba yake Joseph Mbilinyi ampe hela ili akasuke, je una maoni gani juu hili?
No comments:
Post a Comment