

Jay Z yuko kwenye orodha hii lakini amefungana na Diddy pamoja na Bruno Mars kwenye nafasi ya 12 kwa kutengeneza $60 million.
Katika kutengeneza orodha hii Jarida la Forbes limezingatia vitu vifuatavyo, mapato yatokanayo na ziara za muziki, mauzo ya muziki, publishing, endorsements, merchandise pamoja na biashara nyingine zilizofanywa na wanamuziki katika kipindi cha June 2013-June 2014.
Hii ni orodha kamili ya Forbes World’s Highest Paid Musicians 2014:
1. Dr. Dre ($620 million)
2. Beyoncé ($115 million)
3. The Eagles ($100 million)
4. Bon Jovi ($82 million)
5. Bruce Springsteen ($81 million)
6. Justin Bieber ($80 million)
7. One Direction ($75 million)
8. Paul McCartney ($71 million)
9. Calvin Harris ($66 million)
10. Toby Keith ($65 million)
11. Taylor Swift ($64 million)
12. Jay Z ($60 million)(tie)
12. Diddy ($60 million)(tie)
12. Bruno Mars ($60 million)(tie)
15. Justin Timberlake ($57 million)
16. Pink ($52 million)
17. Michael Bublé ($51 million)
18. Rihanna ($48 million)
19. Rolling Stones ($47 million)
20. Roger Waters ($46 million)
21. Elton John ($45 million)
22. Kenny Chesney ($44 million)
23. Katy Perry ($40 million)
24. Jason Aldean ($37 million)(tie)
24. Jennifer Lopez ($37 million)(tie)
26. Miley Cyrus ($36 million)(tie)
26. Celine Dion ($36 million)(tie)
28. Muse ($34 million)(tie)
28. Luke Bryan ($34 million)(tie)
30. Lady Gaga ($33 million)(tie)
30. Drake ($33 million)(tie)

No comments:
Post a Comment