Sunday, November 30, 2014

(PHOTO'Z) KHANGA PARTY ILVYOKUWA SIKU YA JANA

DSC_0284
Siku ya jana ilikuwa ni ya aina yake kwenye 'Khanga Party' coz ilikuwa inasubiliwa kwa hamu na wapenzi wote wa party hiyo. Mwaandaaji wa tukio hilo Asia Idarous ni mwanamitindo maarufu sana hapa Tzee ameweza kushawishi wabunifu wengi kujiingiza kwenye fashion, Khanga party ilifanyika katika kumbi wa Safari Canival uliopo maeneo ya mikocheni, jijini Dar es salaam.

Party hiyo ilikuwa ni ya kivingine kutokana na muandaaji kuwa na uzoefu wa kutosha katika tasnia hiyo. Party hiyo ilianza kupamba moto kuanzia muda wa saa tatu usiku, na kuhudhuriwa na mastaa kibao kama Kajala, Mama Dotnata, Reo Pol,  Mustafa Hassanali, Khadja Kopa, Sitti Mtemvu nk. Vyeti vilitolewa kwa designers waliojitokeza kuandaa mavazi mazuri ya Khanga usiku huo, pia vyeti vilitolewa kwa wadhamini wote wa Party hiyo. sherehe ilipambwa na mwanamuziki nguri wa taarab Bi Khadja Omary Kopa & Bilal mashauzi.



DSC_0189


DSC_0205


DSC_0224


DSC_0235


DSC_0243


DSC_0271


DSC_0280



DSC_0296


DSC_0302


DSC_0307


DSC_0314


DSC_0366

No comments:

Post a Comment