Saturday, November 29, 2014

DAVIDO KURUDISHA FADHILA KWA MANAGER NA PRODUCER WAKE

Star wa Nigeria ambaye ni miongoni mwa wasanii wanaolipwa pesa nyingi zaidi kwa show Africa Davido amewanunulia manager na producer wake zawadi ya gari za kifahari.


Manager wake Kamal Ajiboye amepewa Mercedes 450 Gl na producer wake kapewa Porsch Cayenne.
davido 1

No comments:

Post a Comment