Sunday, November 30, 2014

DAVIDO AMPONGEZA DIAMOND PLATNUMZ KWA USHINDI

Ushindi wa tuzo tatu za Channel O 2014 alizochukua Mtanzania Diamond Platnumz umekua mkubwa sio tu kwa Tanzania bali Afrika na kona zake ambapo miongoni mwa walioandika baada ya Diamond kushinda ni Davido.


Msanii huyu wa Nigeria ambae alifanya remix ya number one ya Diamond aliandika kwenye page yake ya instagram TANZANIA STAND UP! HE DID IT na kisha akam mention Diamond Platnumz.
Ingawa Davido hakupata tuzo yoyote ya Channel O.
Davido on Diamond
Davido 13

No comments:

Post a Comment