Kituo cha Mtv Base kimeripoti kuwa video ya wasanii kutoka Nigeria P
Square ‘Personally’ imefikia watazamaji milioni 30 kwenye mtandao wa
youtube na kuweka rekodi ya video ya wimbo iliyotazamwa zaidi Africa.
Video ya Personally iliongozwa na kaka wa P Square ambaye ni Jude
Engees Okoye akishirikiana na Clarence Peters. Video iliwekwa mtandaoni
June 21 2013 na mpaka sasa imetazamwa mara 30,319,899.


No comments:
Post a Comment