Mwanamuziki Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz na boss lady Zari from Uganda ni urafiki au zaidi urafiki coz wameonekana kona zote zikiwa za mahaba na kikazi zaidi, je kufika kwenye tuzo za CHOAMVOA 2014 na Diamond Platnumz kufanikiwa kushinda tuzo tatu kati ya 4 alizokuwa anawania. Tuzo alizoshinda ni Most Gifted EastAfrica, Most Gifted Afro Pop na Most Gifted Newcomer ni bado mwendo wa urafiki au watuache tulale....?

No comments:
Post a Comment