Wednesday, October 29, 2014

NICKI MINAJ: SINA MAHUSIANO NA DRAKE WALA LIL WAYNE

Rapper wa kike Nicki Minaj amefunguka baada ya tetesi kuwa anamengwa na member wawili wa Young Money akiwa Drake na boss wake Lili Wayne. Kauli hiyo imetolewa na mtandao wa Mail online kuja baada ya ngoma mpya ya Nicki Minaj feat. Lil Wayne, Drake na Cris Brown 'Only' ila baada ya kuulizwa Nick alijibu ‘Yo, I never f***ed Wayne, I never f***ed Drake/ On my life, man, f***’s sake.’



No comments:

Post a Comment