Wednesday, October 29, 2014

JENIFER LOPEZ ANA MIAKA 45 LAKINI BADO SUPER

Mwanamuziki Jennifer Lopez ame-share picha Kwenye Instagram Profile yake ambayo inamuonyesha akiwa ndani ya bikini akiwa na Umri wa Miaka 45 Sasa. Changamoto kwa mabinti hapa Bongo wengi wakifikisha umri wa miaka 30 tu tayari uzee na minyama uzembe chukua hatua wacha Chips Kuku na Mibia ya Offer.

No comments:

Post a Comment