Saturday, June 17, 2017

Kipindi cha Amplifaya ya Clouds Fm cha futurisha

Kipindi cha #Amplifaya cha Clouds Fm mtangazaji Millard Ayo na Meena Ally waliandaa Iftar maeneo ya Mikocheni jengo la MayFair Plaza (Terrace lounge) na kutoa nafasi kwa wadau mbalimbali kushiriki na dhumuni ni kuchangisha kiasi cha pesa ambacho kitaweza kuwasaidia watoto yatima.


Wadau mbalimbali pamoja na mastaa wa muziki na muvi walijumuika katika Iftar mahususi kwa kuwakutanisha watu wao wa nguvu.







No comments:

Post a Comment