Thursday, September 8, 2016

Wana Hip Hop wenye mkwanja mrefu duniani 2016

Forbes ya limetoa list ya wana Hip Hop walioingiza hela nyingi mwaka 2015 na kwa mara ya pili P-Diddy amekuwa top list hiyo .


Deal yake kubwa ni ya Ciroc, na ameingiza $62 millioni, lakini hii hela haijatoka kwenye ventures za muziki na sasa hivi ana tour yake na crew ya Bad Boy. Jay z ni wa pili na kuingiza $53.5 millioni na hii ni kwa sababu ya Roc Nation, Tidal, Armand de Brignac champagne na D’ Usse cognac.
















1. Diddy – $62 million










2. Jay Z – $53.5 million














3. Dr. Dre – $41 million











4. Drake – $38.5 million

5. Wiz Khalifa – $24 million

6. Nicki Minaj – $20.5 million

7. Pitbull – $20 million

8. Pharrell Williams – $19.5 million

9. Kendrick Lamar – $18.5 million

10. Birdman – $18 million

Ya Africa iko hivi: Jose Chameleone...Banky W. ...Hugh Masekela. ...2

Face Idibia. ...Fally Ipupa. ...Salif Keita. ...Koffi Olomide. ...D'banj…Ice

Prince.. Davido..wizkid…p square..Don Jazzy..Diamond?

No comments:

Post a Comment