Sunday, April 17, 2016

Tazama video na picha za daraja la Kigamboni linavyobadilika taa kila dk 5

Tazama daraja la Kigamboni lilivyozinduliwa na kuvutia kwa watu wengi kupiga picha na kufurahia maendeleo ya serikali ya awamu ya tano ya Mh. John Pombe Magufuli.

Daraja la Kigamboni limekuwa kivutio kikubwa sana kwa Watanzania kutokana na uzuri wake na majira ya usiku daraja hilo linataa zinazo badilika rangi kila dakika tano.........
















Tazama Video hapa.......




No comments:

Post a Comment