Saturday, February 6, 2016

Wolper umeachwa...?

Staa wa filamu Jacqueline Wolper ameibua maswali mengi kwa mashabiki wake wa filamu katika mitandao ya kijamii baada ya kuandika ujumbe unao onyesha huenda ametendwa katika mapenzi.

Wolper akiwa hana pete ya uchumba kidoleni
Muigizaji huyo ambaye mwisho wa mwaka jana (2015) alimtambulisha mpenzi wake mpya kwa mashabiki wake baada ya kuvalishwa pete, Ijumaa hii ameweka wazi yale yanayomsibu moyoni hali iliyowafanya mashabiki wake watafsiri ametendwa.
Kupidia instagram, Wolper ameandika:


 
IMG_2015-09-03 06-32-08
Wopler akiwa na mpenzi wake ambaye alimvalisha pete ya uchumba

Hata hivyo,source amejaribu kumtafuta mwanadada huyo bila mafanikio, kwani hapokei simu wala ajibu meseji anazotumiwa.
Haya ni maoni ya mashabiki wake wa instagram
kate_brown538
Ushaachwa ivo ba pete kidolen hamna kiruuu, nenda kwa mond
zai2n1804

Asante Dada @wolperstylish kwa ujumbe wako mzuri japo wengi wamehisi tofauti kutokana na maneno uloyasema hapo juu ila Mimi nimeelewa vizuri sana thanks again coz nimejifunza kitu kutokana na ujumbe wako barikiwa sana.
chegya_boy_

Pole sana my mungu yupo yote mapito IPO siku mungu atakuonesha chaguo llako xo omba mungu

No comments:

Post a Comment