Rapper Farid Kubanda a.k.a Fid Q kaachia video mpya ya wimbo unaitwa “Walk It Off” kamshirikisha Taz, hii video imefanyika South Afrika unaweza kuita moja kati ya video bora za wasanii wa Tanzania kwa mwaka 201.Tazama hapa.... enjoy good music from Fid Q
No comments:
Post a Comment