Monday, February 1, 2016

Seneta 'Mike Sonko' wa Kenya aja na staili mpya ya kunyoa

Seneta 'Mike Sonko' wenye umaarufu mkubwa kutokana na vituko vyake vya kutupia vitu bling bling na kutinga navyo  Bungeni na kufanya Wabunge Kenya kupigwa na butwaa.


Mike Sonko ni senator mwenye vitu kuliko maseneto wote wa Kenya kiasi cha kujiongezea umaarufu mkubwa kutokana na ucheshi kwa jamii yake na juhudi zake za kijamii, baada ya kuwa anatupia bling bling sasa kaamua kunyoa nywele na kuandika neno 'peace' kichwani kwake.
Tazama picha zake hapa.... 

cutson2.jpg
cusonk_mbl.jpg

No comments:

Post a Comment