
Baada ya Manchester City kuingia makubaliano na Pep Guardiola (wa Bayern Munich) kwa ajili kuifundisha timu hiyo kwa misimu mitatu.
Ingawa timu ya Manchester
City bado inanolewa na kocha ‘Manuel Pellgrini’ hadi mkataba wake utakapomalizika
mwenzi wa sita mwishoni mkataba wake utakuwa umeisha kuifindisha klabu hiyo.
Kuna habari zinasema
Pellegrini anaongea na klabu ya Chelsea kwa ajili ya kuziba pengo la Jose Mourinho
ambaye muda si mrefu anaachana na klabu hiyo.
No comments:
Post a Comment