Friday, February 19, 2016

Rais Magufuli- tulianza pamoja na tutamaliza pamoja

Siku ya jana Wasanii walikutana na Mh. Rais Magufuli katika ofisi yake Ikulu.


Wasanii waliopata nafasi ya kukutana pamoja ni wale aliokuwa nao katika kipindi cha Kampeni cha Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, Mh. Rais John Magufuli aliwalika Wasanii Ikulu na kuongea nao jinsi ya kutatua changamoto zinazowakabili na Mh. Rais alitoa agizo kwa TRA kukamata kazi za Wasanii zinazouzwa bila stika ikiwa lengo serikali ipate mapato na Wasanii nao wanufaike na kazi zao.
Mbali na maagizo hayo Mh. Rais aliwajakikishia Wasanii kwa kusema "Tulianza na pamoja na tutamaliza pamoja." Alisema Mh. Magufuli
Picha za wasanii na waandishi wa habari waliohudhuria Ikulu.







No comments:

Post a Comment