Mwanafunzi mwenye asili ya kichina aingia top 10 matokeo ya kidato cha Nne
Mwanafunzi wa Feza Girls mwenye asili ya kichina 'Congcong Wang' ameshika nafasi ya pili kwenye matokeo ya kidato cha Nne 2015.
Congcong amepata wastani wa 1.7 akiwa amepata 'A' kwenye somo la kiswahili, swali langu wageni wakipewa fursa za kujua kiswahili tunaweza tukashindwa kujitetea kwa kutumia lugha yetu...?
No comments:
Post a Comment