Yamoto Band yaweka kambi Tanga.
Kundi
la Yamoto Band waliweka Kambi ya Siku 3 katika jiji la Tanga
wakishoot video ya wimbo wao Mpya uitwao 'Mama' chini ya Director Pablo,
Video ya wimbo huo unatarajiwa kuachiwa mapema wiki ijayo.
Kiongozi
wa kundi hilo, Aslay amesema kuwa wameamua kwenda kufanya Video hiyo
Tanga ili kubadirisha mazingira na pia kuleta Utofauti na Video zingine
ambazo tayari wameshazifanya, Lakini pia aliwaomba mashabiki kupokea
kazi hiyo ambayo itatoka hivi Karibuni.
No comments:
Post a Comment