Mwanamitindo kimataifa, Flaviana Matata anayefanya kazi
zake za u- model nchini Marekani, leo ame launch product yake ya 'Lavy'
ni rangi za kucha za aina mbalimbali (Nail Polish) zitakuwa zinauzwa kwa
sh 5,000/=
"Nashukuru kwa kila mmoja aliyekuwa na mimi katika safari ndefu ambayo
imechukua almost two years, na yenye Milima na Mabonde ila nasema thank
you so much, najua wengine wataona kama ushindani na wengine watataka
kukuona unashuka chini au unabaki pale pale ila siri ya kuwa
mfanyabiashara mkubwa ni kuwa na distribution channel, sijawahi kusikia
Mtanzania mwenye bidhaa ya Nail Polish so tupende na kuthamini vitu vya
nyumbani" @flavianamatata
Mbali na kuzindua hapa Bongo Mwanamitindo Flaviana anatarajia kuipeleka product yake (Lavy)abroad kwa ajili soko la kimataifa zaidi.
Mbali na kuzindua hapa Bongo Mwanamitindo Flaviana anatarajia kuipeleka product yake (Lavy)abroad kwa ajili soko la kimataifa zaidi.








No comments:
Post a Comment