Wachumba hao wanatarajia kufuata nyao za mastaa wengine waliowahi kufunga ndoa mbali nchi waliopo kama Jay Z na Beyonce au Kanye West na Kim Kardashian, Mariah Carey na mchumba wake James Packer wanatarajia kufunga ndoa kwenye fukwe za Hayman Island Resort iliyopo nchini Australia.
Tazama maeneo yatakayofanyika shughuli nzima za sherehe hiyo....









No comments:
Post a Comment