Baada ya muziki wa Bongo flava kushika kasi na kuonekana kuwa na vipaji vingi kushinda soka, ofisa habari wa klabu ya Simba 'Haji Manala'
amethibitisha hilo jana kwenye kipindi cha Sport Xtra cha Clouds Fm kwa kusema
kwenye soka vipaji hakuna na muziki wa Bongo flava ndio unaonekana una vipaji vingi sana.
"Siku hizi vipaji vyote vipo kwenye muziki wa Bongo flava na kwenye mpira hakuna kitu." Haji Manala

No comments:
Post a Comment