Sunday, December 13, 2015

DJ's waliofanya balaa escape 1


Siku jana ilikuwa ni full shangwe kwa mashabiki waliofika katika fukwe ya Escape 1 kwenye event ya After Skul Bash.

After Skul Bash imewakutanisha marafiki wengi hasa wanafunzi waliopoteza kwa ajili ya masomo, siku ilikuwa ya jana ilikuwa kila mtu akitabasamu kwa ngoma kali zilizokuwa zinawarusha kutoka kwa DJ's wa kali hapa Tz, DJ D Ommy na DJZero wote wakiwa wanapiga mzigo Radio Clouds Fm.


No comments:

Post a Comment