Thursday, December 17, 2015

Belle 9- Nimeanza kuelekea next level.



Kati wa Wanamuziki wenye uwezo wa
kutunga na kuimba hapa Bongo, Abednego Damian aka Belle 9 ni kati yao,
kwa sasa ana bamba kwenye TV na Radio stations na wimbo wake mpya wa 'Burger Movie Selfie'.
Baada ya wimbo wako kuchezwa kweny kituo kikubwa cha Trace TV nini muendelezo?
"Hiyo kwanza kwangu ni respond kubwa sana na nimeanza kuelekea next level, nimedumu kwenye game kwa muda mrefu na nikifanya vizuri, mbali na wimbo wangu kuchezwa kwenye TV station kubwa ya Trace tayari video imetumwa kwenye channel zingine tofauti kwa ajili ya kusaka soko la kimataifa.
Kwa hapa home nimepata mapokezi mazuri sana kwababu sikuchelewa kutoa audio na video kwa pamoja." Belle 9

No comments:

Post a Comment