Rais Kikwete leo ameongoza sherehe za kuadhimisha
miaka 53 tangu Tanzania Bara ipate uhuru wake Desemba 9 1961.
Hafla hiyo
ilifanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na
viongozi mbalimbali nchini na wawakilishi wa nchi za nje walioshuhudia
burudani ya kwaya, gwaride, halaiki, ngoma za asili, sarakasi na michezo
mingineyo kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania.
Rais Kikwete akiwa kwenye sherehe hizo.
Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara CCM, Philip Mangula.

Baadhi ya wananchi waliofika kwenye sherehe hizo.
CREDIT: GPL

No comments:
Post a Comment