Monday, December 29, 2014

MAFURIKO YALETA GHASIA DAR

Baada ya kuwa na joto kali sana katika jijini la Dar na kupelekea watu wengi kulalamika kuhusu joto sasa alfajili ya leo mvua kubwa ilinyesha katika jiji hilo na kupelekea ghasia kwa kujaa maji katika mitaa, cheki picha hapa


No comments:

Post a Comment