Jana
ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa model Amber Rose, ambae x wife wa
mwana-Hip Hop Wiz Khalifa, ingawa wameachana wiki mbili zilizopita ila
inaonesha watalaka hao bado wanapenda sana, yote imekuja pale Wiz
Khalifa alipomtumia ujumbe kupitia akaunti yake ya twitter kwa kumtakia
happy birthday Amber "Happy birthday Amb" nae Amber alimjibu
"StillLoveYouNo MatterWhat."





No comments:
Post a Comment