Thursday, October 23, 2014

HOTELI YAUZA CHAKULA CHA NYAMA ZA BINADAMU

Hoteli moja jina (kapuni) huko nchini Nigeria ilikuwa inauza chakula kilichopikwa kwa nyama ya binadamu.


Polisi wamewakamata watuhumiwa 11, akiwa mmiliki wa hoteli na wafanyakazi wa jinsia ya kike na kiume baada ya kuona vichwa viwili vya binadamu ndani ya hoteli pamoja na silaha mbili za moto aina ya AK47 na baadhi ya zana, baadhi ya mashuhuda waliwaambia mapolisi waliohudhuria hotelini hapo.

No comments:

Post a Comment