Wanamuziki mapacha Peter na Paul Okoye aka P-Square kutoka Nigeria wanatarajia kutoa albamu yao mwezi wa 12 mwaka huu.
P-Square tayari washatoa albamu tano na hii ndio albamu yao ya sita inayokwenda kwa jina la 'Double Trouble' ambayo muda si mrefu wataidondosha sokoni.
Stay tuned mzigo unakuja.

No comments:
Post a Comment