Tuesday, October 21, 2014

MSANII KUTOKA KUNDI LA WANAUME FAMILY AFARIKI DUNIA

Taarifa tuliyoipata hivi punde inahusiana na msiba wa aliyekuwa mkali wa Bongo Fleva, YP kutoka kundi la Wanaume Family.



Kupitia Tweet ya Anna Peter aliyoiweka dakika chache zilizopita, amesema amezungumza na meneja wa kundi hilo Said Fella ambaye amethibitisha kutokea kwa msiba wa msanii huyo, aliyefariki kwa maradhi ya kifua.
Anna Peter Fredz

No comments:

Post a Comment